wanafunzi na baadhi ya waalim toka shule ya sekondari Mlamke wakifurahia kutembelea eneo la River side lililopo mkoani Iringa mara tu baada ya kumaliza zira ya kuwatembelea watoto yatima Ilula huko Iringa vijijini,,,Mungu awabariki sana Mlamke sekondari pamoja na mratibu mkuu Mr Lusungu Ndondole,,,,huu ni upendo mkuu wa kuwatembelea mayatima,wasiojiweza,na wenye shinda mbalimbali


