Tuesday, July 1, 2014

WATOTO WALIOTEMBELEWA NA WANAFUNZI WA MLAMKE SEKONDARI


WATOTO WALIOTEMBELEWA NA WANAFUNZI WA MLAMKE SEKONDARI

Hawa ni  watoto waliotembelewa na wanafunzi toka shule ya sekondari mlamke,katika kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu-Ilula mkoani Iringa wakiwa na nyuso za tabasam na kuwaimbia nyimbo mbalimbali.


Wakwanza kulia ni mratibu mkuu Mr Lusungu Ndondole,,aliyeanzisha utaratibu  wa kuwatembelea watoto wenye shida mbali mbali katika mkoa wa Iringa.
Pembeni yake ni wanafunzi wa shule ya Mlamke sekondari wakijumuika na watoto wenye ulemavu katika kituo hicho,,,,may God bless you all for your support 

hapo pia wakionesha kufurahi sana baada ya kutembelewa....

 hapa chini ni baadhi sasa ya walemavu katika kituom hicho kiukweli nilijisikia kutokwa na machozi kuwaona watoto hawa wenye ulemavu na chakushangaza zaidi wakiwa wametelekezwa na ndugu zao inasikitisha sana..lakini tunawashukuru wanaokubuka kuwatembelea na kuwapa faraja maishani mwao....MUNGU awabariki sanaa hasa Mr Lusungu Ndondole kwani amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha linatimia hili

Hapa chini ni mratibu Mkuu Mr Lusungu Ndondole sijui alikuwa anashangaa nini may be kuwaona watoto hawa wenye ulemavu tena wametelekezwa hadi na mbunge wao,, hana mpango nao tenaa...